الجمعة، 31 مارس 2017

KUMBUKA NEEMA ZA ALLAH JUU YAKO.

KUMBUKA NEEMA ZA ALLAH JUU YAKO.
Badilika ewe Mwanadam na umrejeye Mola wako hakika Dunia ni
Nyumba ya Mitihani,je?utaridhia Mitihani hiyo ikushinde sababu ya upuuzi wakutopenda kuskia Nasaha kutoka kwa Mola wako? Ewe
mwanadam tambuwa yakwamba iko siku itafika ya kila mtu 
kutangaziwa puwenti(daraja)zake fedheya iliyoje wewe kutoka wa mwisho mbele ya Muumba wako,
.Eeee Mola wetu tunakuomba tuishinde Mitihani ya Dunia kwa msaada na huruma kutoka kwako hakika bila huruma wako itakuwa nifedheya kwetu.