السبت، 15 أبريل 2017

JIANDAE KUKUTANA NA ALLAH


JIANDAE KUKUTANA NA ALLAH
قـال الـعلامة ابن عثيمين رحمه الله تعالى :
يجب على الإنسان أن يستعدّ لمُلاقاة الله عز وجل، وأن يعرف كيف يلاقي الله، هل يلاقيه على حال ترضي الله عز وجل، أو على العكس، ففتش نفسك واعرف مـا أنت عليه .
Alisema Al Allaamah ibn Utheimiin Allaah Amrehemu:
Ni wajibu kwa mtu ajiandae kukutana na Allah Mtukufu na ajue ni vipi atakutana naye, je atakutana naye katika hali inayomridhisha Allah Mtukufu au kinyume chake? Basi ichunguze nafsi yako na ujue upo katika lipi!!!
[ شرح الأربعين النووية (٤٧٨/١) ]
[Sharh Al Arbaiin Al Nawawiyyah (1/478)]

ليست هناك تعليقات:

إرسال تعليق