السبت، 23 يناير 2021

Found Answers in Quran | Professor Jefery Lang Part 1

Bayyinah Foundation

Bayyinah Foundation

Share Islam with 500 Million Latinos

Share Islam with 500 Million Latinos: After 20 years of Educating Latinos about Islam worldwide, be part of the 10,000 Pioneers this Year to propel this Dawah Revolution to the next level!

الموقع الرسمي للشيخ محمد صالح المنجد - قصة يوسف عليه السلام12

الموقع الرسمي للشيخ محمد صالح المنجد - قصة يوسف عليه السلام12

» Sounds|موقع الإسلام العتيق

» Sounds|موقع الإسلام العتيق

Tawheed Mwanzo na Ustadh Abu Anisa | Season 2 | Ep 20 | HorizonTV

» هناك كلام لابن عثيمين أن السلفية حزب، وأن الصحيح اجتناب هذه الأحزاب، فهل هذا صحيح؟|موقع الإسلام العتيق

» هناك كلام لابن عثيمين أن السلفية حزب، وأن الصحيح اجتناب هذه الأحزاب، فهل هذا صحيح؟|موقع الإسلام العتيق

NI NANI KATIKA WANACHUONI ALIETANGULIA KUTHIBITISHA UWEPO WA KUNDI LA SALAFIYAH JADIDA NA KUASHIRIA JINA HILO ?

*🌿 NI NANI KATIKA WANACHUONI ALIETANGULIA KUTHIBITISHA UWEPO WA KUNDI LA SALAFIYAH JADIDA NA KUASHIRIA JINA HILO ? 🌿
*
SEHEMU YA PILI :
Huu ni mwendelezo wa Makala ( Sehemu ya kwanza ) ambapo ilikuwa ni Jawabu la Swali :
Je ni kweli kuna kundi linaloitwa 'Salafiyah Jadiyda' na kama lipo limeanza lini na wapi ? .
Katika Makala hii ( Sehemu ya pili ) tutajibu Swali hilo hapo juu kwenye anuani na kuegemeza na Ushahidi wa tunayonukuu kutoka kwa kila Shekhe anaetajwa , kuthibitisha kwamba Mashekhe wetu wengi wa Ahlusunnah wa Zama hizi wenye kufuata Manhaj ya Wema waliotangulia wametambua uwepo wa kundi hili na kwamba ni Jipya ' Jadidah ' na ni pote potovu linalojinasibisha na Usalafi kwa Uongo , na kazi yao kubwa ni kupambana na Watu wa Sunnah , kuwatukana , kuwajeruhi , kuwaangusha kwa kuwabadi'isha na kuwatoa kwenye Manhaj ya Ahlu Sunnah na Usalafi kwa sababu ya kutofautiana nao kwenye baadhi ya Masaaili ya Ijtihaad yanaokubalika kukhtikafiana .
*WAFUATAO NI BAADHI YA MASHEKHE HAO 😘
*
1 - SHEIKH MUHAMMAD SWALEH AL-'UTHAIMYN RAHIMAHULLAH .https://l.facebook.com/l.php?u=https%3A%2F%2Fwww.islamancient.com%2F%25d9%2587%25d9%2586%25d8%25a7%25d9%2583-%25d9%2583%25d9%2584%25d8%25a7%25d9%2585-%25d9%2584%25d8%25a7%25d8%25a8%25d9%2586-%25d8%25b9%25d8%25ab%25d9%258a%25d9%2585%25d9%258a%25d9%2586-%25d8%25a3%25d9%2586-%25d8%25a7%25d9%2584%25d8%25b3%25d9%2584%25d9%2581%25d9%258a%25d8%25a9-%25d8%25ad%25d8%25b2%25d8%25a8%25d8%258c-%25d9%2588%2F%3Ffbclid%3DIwAR2m1ldmr_cbKr7QvOW3eT6OpQx7ETwAjoIrHs5RBOUaTDwyiciKhIxmvdM&h=AT2FCfDBhQuTnN-0MIbwmTtxXkJr5ZvBYbq3MrICtqbu0qUYBYdmKZEAAALSogo3ZQDjuGNgIMQN0b0I0CZ9tYx6lyA2ZLPOgFNAAFNW2UC1igOvZedlXNWGO7ou5DjlTVQ&__tn__=H-y-R&c[0]=AT1fhdKSvw0mgwc6I6v2hWwvFRmJqZV84ovzamQsKZ8uAsfZ0O1vMpmDzTpDTaOs5ioGlpGdldqDvx7XKcLqlHOA7Z0FW8FyJCnT5r1I_e9DmeIp1VMlhJiTj-_EFHi3CMptF3MoVnA3d9uoR_17bfddk_mt_b41_0eDcZW-hSkJetsvtp9d4SRhAnwcfkTKyHKGESNncIvMgDTL
*
▶ Amesema Sheikh Al-'Uthaimyn Rahimahullah :
.
" Lakini baadhi ya wale Wanaojinasibisha na Manhaj ya Salafi katika *ZAMA HIZI* wamekuwa wakiwatia (Watu) katika Upotovu kwa kila atakaepingana nae , hata kama Haki itakuwa pamoja nae , na baadhi yao wakaufanya Usalafi kuwa ni Manhaj ya Kihizbi (Kimakundi) kama Njia za Makundi mengine ambayo Wanaojinasibisha
◀ قال الشيخ محمد الصالح بن عثيمين – رحمه الله - :
" لكن بعض من انتهج السلفيَّة في عصرنا هذا صار يضلِّل كل من خالفه ولو كان الحق معه ، واتَّخذها بعضهم منهجاً حزبيّاً كمنهج الأحزاب الأخرى التي تنتسب إلى الإسلام ، وهذا هو الذي يُنكَر ولا يُمكن إقراره ...." .
( لقاءات الباب المفتوح : السؤال رقم 1322 )
▶ Na Amesema Sheikh Al-Uthaimyn Rahimahullah :
" Hakuna Shaka kwamba ni Wajibu kwa Waislamu wote kuwa Madhehebu yao kuwa ni Madhebu ya Salaf , *sio kujiunga na 'Hizbu ( Kundi) maalum linaloitwa la Masalafi.*
Na Wajibu ni kuwa Madhebu ya Ummah wa Kiislamu , madhehebu yake kuwa ni Madhehebu ya Wema waliotangulia *sio kujitenga kwenye kundi linaloitwa la Masalafi .
Kuna Njia ya Salaf na kundi linaloitwa la Masalaf , na kinachotakiwa ni kufuata Salaf "*
( Kutub wa Rasaail Ibnul-'Uthaimyn Juz . 8 Uk . 34 )
◀ قال الشيخ ابن عثيمين -رحمه الله-:
" لا شك أن الواجب على جميع المسلمين أن يكون مذهبهم مذهب السلف، لا الانتماء إلى حزب معين يسمى السلفيين، والواجب أن تكون الأمة الإسلامية مذهبها مذهب السلف الصالح، لا التحزب إلى من يسمى السلفيين، فهناك طريقة السلف، وهناك حزب يسمى السلفيين، والمطلوب اتباع السلف".
(كتب ورسائل ابن العثيمين: 34/ 8)
▶️ Na Amesema Sheikh Al-uthaymiin (Allaah Amrehemu) akisherehesha Hadithi Na .28 ya ' Arba'uuna annawawiyah :
" Hakika mambo yalivyo yatakapokithiri makundi katika umma,usiegemee katika kundi lolote*
Yalidhihiri makundi katika zama za mwanzo kama mfano,Makhawaariji, Mu'utazilah,Jahmiyya, *na Maraafidhwa(Mashia),kisha yamedhihiri katika zama (hizi) za mwisho (Makundi) mfano , Maikhwaani,na Masalafi , na Matablighi,na makundi mengine mfano wa hayo .*
Makundi yote haya yaweke kushoto na ni juu yako kushikamana na lililo mbele yako,ambalo ametuelekeza Mtume (swallallaahu alyh wasallam)katika kauli yake :
*Shikamaneni na Sunnah zangu na Sunnah za Makhalifa wangu waongofu*
Wala hapana shakka kwamba lililowaajib ni kua umma wa Kiislamu madhab yao ni madhab ya Salaf (wema waliotangulia) na sio kujiunga na Kundi maalum linaloitwa Salafiyyuun .
*Basi kuna njia ya Salaf na kuna kundi (hizbu) linaloitwa Salaf,* na kinachotakiwa ni kuwafuata salaf (wema waliotangulia).
◀️ قال الشيخ محمد صالخ العثيمين رحمه :
" أنه إذا كثرت الأحزاب في الأمة فلا تنتمِ إلى حزب، فقد ظهرت طوائف من قديم الزمان مثل الخوارج والمعتزلة والجهمية والرافضة، *ثم ظهر أخيراً إخوانيون وسلفيون وتبليغيون وما أشبه ذلك،* فكل هذه الفرق اجعلها على اليسار وعليك بالإمام وهو ما أرشد إليه النبي صلى الله عليه وسلم في قوله: عَلَيكُم بِسُنَّتي وَسُنَّة الخُلَفَاء الرَاشِدين ولا شك أن الواجب على جميع المسلمين أن يكون مذهبهم مذهب السلف لا الانتماء إلى حزب معين يُسمى السلفيين، والواجب أن تكون الأمة الإسلامية مذهبُها مذهبَ السلف الصالح لا التحزب إلى من يسمى ( السلفيون) فهناك طريق السلف وهناك حزب يسمى (السلفيون) والمطلوب إتباع السلف .
( شرح الحديث الثامن والعشرين من الأربعين النووية الفائدة السادسة عشر )
2 - SHEIKH ABDUL-AZIIZ BIN RIYS AL-RIYS AKIFAFANUA FATWA YA SHEIKH AL-'UTHAIMYN :
▶ Ameulizwa Dr .Abdul-aziiz bin Riys Al-Riys Hafidhwahullah :
" Wananukuu baadhi ya Watu katika Mitandao ya Mawasiliano ya Sheikh Ibn 'UthImyn kwamba Masalafi ni ' HiZBU ' ( Chama ) na kwamba Njia sahihi ni kujiepusha na Vyama hivi na baina ya Chama cha Masalaf na kundi lao , ni nini usaihi wa Maneno haya na vipi itaelekezwa ? .
▶ Amejibu Sheikh :
Yanachukuliwa Maneno yake kwamba anahadharisha Watu katika wanaojinasibisha na Usalafi ' kuta'aswab' (kuelemea) kwa Mtu na wakawa wanajikusanya juu yake na kuhamisha kwao kujikusanya kwao juu ya Haki yaani juu ya Kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa Wema wa Umma huu kuelekea kwao kuta'aswab' ( kuelemea ) kwa Shekhe huyu au Shekhe yule .
Na hili ndio alilokuwa akilihadharisha Shekhe wetu Rahimahullahu Ta'ala na imetokea kwa baadhi ya Masalaf na wamekosea kwa hilo kutoka kwa Masalafi wengi . Kwani Mizani ni Kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa Wema waliotangulia kwa hilo na mwenye kufanya hivyo atakuwa ni Mkosa yoyote atakaekuwa ni Mkubwa au Mdigo , hivyo Shekhe wetu alikuwa akihadharisha katika wale tuliotangulia kuwataja na hao walikuwepo na wakakutwa wana kitu katika Ta'aswub ( kuelemea kwa Mashekhe fulani ) . na wengi katika wao Alhamdulillah wamerejea na atakae endelea na Ta'aswub yake hakika atakuwa anakosea , na haki ni lazima ibainishwe , na isipokuwa Shekhe wetu analingania Usalafiyyah na kuelekea Njia ya Wema waliotangulia kama ilivyotangulia kukaririwa " .
◀️ سئل د. عبدالعزيز بن ريس الريس حفظه الله :
◀ يقول السائل :
يتناقل البعض في وسائل التواصل كلامًا للشيخ ابن عثيمين: أن السلفيين حزب، وأن الطريق الصحيح اجتناب هذه الأحزاب، ومن بين الحزب السلفيين وفرقتهم، ما صحة الكلام؟ وكيف يوجه؟
◀️ أجاب الشيخ :
يحمل كلامه على أنه كان يحذِّر أن يتعصب أقوام من المنتسبين للسلفية إلى شخص، فيتحزبون عليه، فينتقل تحزبهم على الحق، أي: على الكتاب والسنة بفهم سلف هذه الأمة إلى تعصبهم على هذا الشيخ أو ذاك الشيخ.
هذا الذي كان يحذّر منه شيخنا رحمه الله تعالى، قد وقع من بعض السلفيين وخُطِّئُوا في ذلك من أكثر السلفيين، فإن الميزان هو الكتاب والسنة بفهم سلف هذه الأمة، لذا من فعل ذلك فهو مخطئ، ويخطئ أيًا كان كبيرًا أو صغيرًا.
فإذًا شيخنا كان يحذِّر ممن تقدم ذكرهم، وهؤلاء وُجِدوا، ووُجِد عندهم شيء من التعصب، وكثير منهم – الحمد لله- رجع، ومن استمر على تعصبه، فإنه يُخَطَّأ؛ والحق لابد أن يبين، وإلا فإن شيخنا يدعو إلى السلفية، وإلى طريق السلف الصالح على ما تقدم تقريره .
*
*3 - SHEIKH BAKR ABU ZAIYD RAHIMAHULLAH 😘
* ▶️ Amesema Sheikh Bakr Abu Zaid Rahimahullah :
" Kitabu hiki , kimehamasisha *UHIZBIYA MPYA* ambao umepandikizwa katika Nafsi za Vijana kuelemea kwenye Fikra za kuharamisha , na mara kwa kutengua ( Imani za Watu), na mara hii ni Bida'a , na yule ni Mtu wa Bida'a na huu ni Upotovu , na yule ni Mpotovu , ... na (tuhuma zote hizi ) hazina Ushahidi wa kutosha kwa ajili ya kuthibitisha (hayo) " .
( Alkhitwaabu-Dhahbiy )
*
4- SHEIKH MUHAMMAD NAASWIRUDDIN AL- ALBAANIY ;
*
▶️ Amesema Sheikh Al-Albaaniy Rahimahullah:
" Mimi ninatoa Nasaha , msizame kwenye Undani huu , kwa sababu *tunauguliwa hivi SASA na hili KUNDI LILILIZUKA kwa wale wanajinasibisha na kulingania kwenye Kitabu na Sunnah au kama tunavyosema sisi : (kulingania) Da'awa Salafiyah .*
Kundi hili , na Allah ni Mjuzi zaidi , sababu kubwa iliyomo ndani ya kundi hili ni kuitukuza Nafsi ( kwa kujiona bora) , nafsi yenyekuamrisha Maasi na Matamanio , na sababu sio (hizi) khilafu katika baadhi ya Rai za Kifikra .
Hizi ndio Nasaha zangu .
(Silsilatu-lhudaa wa nnuur Kaseti Na. 843 )
◀️ قال الشيخ محمد ناصر الدين الألباني رحمه الله :
" انظر! -يا أخي- أنا أنصحك أنت والشباب الآخرين الذين يقفون في خط منحرف فيما يبدو لنا والله أعلم:
ألا تضيعوا أوقاتكم في نقد بعضكم بعضاً، وتقولوا: فلان قال كذا، وفلازن قال كذا؛ لأنه أولاً:
هذا ليس من العلم في شيء،
وثانياً : هذا الأسلوب يوغر الصدور، ويحقق الأحقاد والبغضاء في القلوب، إنما عليكم بالعلم، فالعلم هو الذي سيكشف هل هذا الكلام في مدح زيد من الناس الذي له أخطاء كثيرة؟ وهل -مثلاً- يحق لنا أن نسميه صاحب بدعة؟ وبالتالي هل هو مبتدع؟ ما لنا ولهذه التعمقات؟
◀️ قال الشيخ محمد ناصر الدين الألباني رحمه الله:
" أنا أنصح بألا تتعمقوا هذا التعمق؛ لأننا في الحقيقة نشكو الآن هذه الفرقة التي طرأت على المنتسبين لدعوة الكتاب والسنة، أو كما نقول نحن: للدعوة السلفية، هذه الفرقة -والله أعلم- السبب الأكبر فيها هو حظ النفس الأمارة بالسوء، وليس هو الخلاف في بعض الآراء الفكرية، هذه نصيحتي " .
( سلسلة الهدي و النور شريط رفم ٧٨٤ )
*
*5 - SHEIKH SWALEH AL-FAWZAAN HAFIDHWAHULLAH:*
*
▶ Amesema Sheikh Swaleh Alfawzaan Hafidhwahullah :
" Na kama ukitaka kuwafuata Salaf ni lazima ujue Njia yao , na haitowezekana kufuata Njia ya Salaf isipokuwa utakapo jua Njia yao na ukaijua vizuri Manhaji yao ili upate kupita juu yake .
Ama ukiwa pamoja na ujinga , haitowezekana kutembea juu ya Njia yao , na wewe ukawa ni mjinga wa hiyo Njia na wala huijui , au unawanasibishia (Salaf) na Kauli ambayo hawajaisema na wala hawajaitakidi , unasema :
" HAYA NI MADHEHEBU YA SALAF ", kama inavyopatikana kutoka kwa baadhi ya Wajinga *HIVI* *SASA* ambao wanajiita *nafsi zao kwamba wao ni MASALAFI kisha wana wakhalifu na wanafanyaTashdiyd (Ugumu)* na wanakufurusha na wanawatia Watu katika Ufuska na kuwatia Watu katika BID'AA .
**
*Masalafi hawakuwa wakiwatia Watu katika Bid'aa na kukufurisha na kuwatia Watu katika Ufuska isipokuwa kwa Dalili na Hoja , sio (kwa) Hawaa na Ujinga .** Wewe unachora* mstari na unasema :
*" ATAKAEUPINGA BASI ATAKUWA NI MTU WA BID'AA NA ATUKUWA MPOTEVU .*
◀ قال الشيخ صالح الفوزان حفظه الله :
فإذا أردت أن تتبع السلف لا بد أن تعرف طريقتهم ، فلا يمكن أن تتبع السلف إلا إذا عرفت طريقتهم وأتقنت منهجهم من أجل أن تسير عليه ، وأما مع الجهل فلا يمكن أن تسير على طريقتهم وأنت تـجهلها ولا تعرفها ، أو تنسب إليهم ما لم يقولوه ولم يعتقدوه ، تقول : هذا مذهب السلف ، كما يحصل من بعض الجهال – الآن – الذين يسمون أنفسهم (سلفيين) ثم يخالفون السلف ،ويشتددون ويكفرون ، ويفسقون ويبدعون .
السلف ما كانوا يبدعون ويكفرون ويفسقون إلا بدليل وبرهان ، ما هو بالهوى أو الجهل ، إنك تـخط خطة وتقول : من خالفها فهو مبتدع ، فهو ضال ..."
( من إجابات الشيخ علي أسئلة الحضور في شرح العقيدة الطحاوية )
**6 - SHEIKH ABDUL-MUHSIN AL-'ABBAAD HAFIDWAHULLAH*
*
▶ Amesema Sheikh 'AbdulMuhsin Al-'abbaad Hafidhwahullah :
*
*🌿 NI NANI KATIKA WANACHUONI ALIETANGULIA KUTHIBITISHA UWEPO WA KUNDI LA SALAFIYAH JADIDA NA KUASHIRIA JINA HILO ? 🌿*
*SEHEMU YA PILI* :
Huu ni mwendelezo wa Makala Sehemu ya kwanza ambapo ilikuwa ni Jawabu la Swali :
Je ni kweli kuna kundi linaloitwa 'Salafiyah Jadiyda' na kama lipo limeanza lini na wapi ? .
Katika Makala hii tutajibu Swali hilo hapo juu kwenye anuani kwa kuegemeza na Ushahidi wa tunayonukuu , kutoka kwa kila Shekhe anaetajwa na hii ni kuthibitisha kwamba Mashekhe wetu wengi wa Ahlusunnah wa Zama hizi wenye kufuata Manhaj ya Wema waliotangulia wametambua uwepo wa kundi hili na kwamba ni Jipya ' Jadidah ' na ni pote potivu linalojinasibisha na Usalafi kwa uongo , na kazi yao kubwa ni kupambana na Watu wa Sunnah , kuwatukana , kuwajeruhi , kuwaangusha kwa kuwabadi'isha na kuwatoa kwenye Manhaj ya Ahlu Sunnah na Usalafi kwa dhulma kwa sababu ya kutofautiana nao kwenye baadhi ya Masaaili ya Ijtihaad yanaokubalika kukhtilafiana .
*▶ WAFUATAO NI BAADHI YA MASHEKHE HAO 😘
*
*1 - SHEIKH MUHAMMAD SWALEH AL-UTHAIMYN RAHIMAHULLAH .*
*
▶ Amesema Sheikh Muhammad Swaleh Al-'Uthaimyn Rahimahullah :
.
" Lakini baadhi ya wale Wanaojinasibisha na Manhaj ya Salafi katika *ZAMA HIZI* wamekuwa wakiwatia (Watu) katika Upotovu kwa kila atakaepingana nae , hata kama Haki itakuwa pamoja nae , na baadhi yao wakaufanya Usalafi kuwa ni Manhaj ya Kihizbi (Kimakundi) kama Njia za Makundi mengine ambayo Wanaojinasibisha
قال الشيخ محمد الصالح بن عثيمين – رحمه الله - :
" لكن بعض من انتهج السلفيَّة في عصرنا هذا صار يضلِّل كل من خالفه ولو كان الحق معه ، واتَّخذها بعضهم منهجاً حزبيّاً كمنهج الأحزاب الأخرى التي تنتسب إلى الإسلام ، وهذا هو الذي يُنكَر ولا يُمكن إقراره ...." .
( لقاءات الباب المفتوح : السؤال رقم 1322 )
▶ Na Amesema Sheikh Al-Uthaimyn Rahimahullah :
" Hakuna Shaka kwamba ni Wajibu kwa Waislamu wote kuwa Madhehebu yao kuwa ni Madhebu ya Salaf , *sio kujiunga na 'Hizbu ( Kundi) maalum linaloitwa la Masalafi.*
Na Wajibu ni kuwa Madhebu ya Ummah wa Kiislamu , madhehebu yake kuwa ni Madhehebu ya Wema waliotangulia sio kujitenga kwenye kundi linaloitwa la Masalafi .
*Kuna Njia ya Salaf na kundi linaloitwa la Masalaf , na kinachotakiwa ni kufuata Salaf "*
( Kutub wa Rasaail Ibnul-'Uthaimyn Juz . 8 Uk . 34 )
◀ قال الشيخ ابن عثيمين -رحمه الله-:
" لا شك أن الواجب على جميع المسلمين أن يكون مذهبهم مذهب السلف، لا الانتماء إلى حزب معين يسمى السلفيين، والواجب أن تكون الأمة الإسلامية مذهبها مذهب السلف الصالح، لا التحزب إلى من يسمى السلفيين، فهناك طريقة السلف، وهناك حزب يسمى السلفيين، والمطلوب اتباع السلف".
(كتب ورسائل ابن العثيمين: 34/ 8)
▶️ Na Amesema Sheikh Al-Uthaymiin (Allaah Amrehemu) akisherehesha Hadithi Na .28 ya ' Arba'uuna annawawiyah :
" Hakika mambo yalivyo yatakapokithiri makundi katika umma,usijiegemeze katika kundi lolote*
Yalidhihiri makundi katika zama za mwanzo kama mfano,Makhawaariji, Mu'utazilah,Jahmiyya, *na Maraafidhwa(Mashia),kisha yamedhihiri katika zama (hizi) za mwisho (Makundi) mfano , Maikhwaani,na Masalafi , na Matablighi,na makundi mengine mfano wa hayo .*
Makundi yote haya yaweke kushoto na ni juu yako kushikamana na lililo mbele yako,ambalo ametuelekeza Mtume (swallallaahu alyh wasallam) katika kauli yake :
*Shikamaneni na Sunnah zangu na Sunnah za Makhalifa wangu waongofu*
Wala hapana shakka kwamba *lililowaajib ni kua umma wa Kiislamu madhab yao ni madhab ya Salaf (wema waliotangulia) na sio kujiunga na Kundi maalum linaloitwa Salafiyyuun .*
Basi kuna njia ya Salaf na kuna kundi (hizbu) linaloitwa Salaf, na kinachotakiwa ni kuwafuata salaf (wema waliotangulia).
◀️ قال الشيخ محمد صالخ العثيمين رحمه :
" أنه إذا كثرت الأحزاب في الأمة فلا تنتمِ إلى حزب، فقد ظهرت طوائف من قديم الزمان مثل الخوارج والمعتزلة والجهمية والرافضة، *ثم ظهر أخيراً إخوانيون وسلفيون وتبليغيون وما أشبه ذلك،* فكل هذه الفرق اجعلها على اليسار وعليك بالإمام وهو ما أرشد إليه النبي صلى الله عليه وسلم في قوله: عَلَيكُم بِسُنَّتي وَسُنَّة الخُلَفَاء الرَاشِدين ولا شك أن الواجب على جميع المسلمين أن يكون مذهبهم مذهب السلف لا الانتماء إلى حزب معين يُسمى السلفيين، والواجب أن تكون الأمة الإسلامية مذهبُها مذهبَ السلف الصالح لا التحزب إلى من يسمى ( السلفيون) فهناك طريق السلف وهناك حزب يسمى (السلفيون) والمطلوب إتباع السلف .
( شرح الحديث الثامن والعشرين من الأربعين النووية الفائدة السادسة عشر )
*
***2 - SHEIKH ABDUL-AZIIZ BIN RIYS AL-RIYS HAFIDWAHULLAH*KATIKA KUFAFANUA FATWA YA SHEIKH AL-UTHAYMIYN 😘
*
▶ Ameulizwa Dr .Abdul-aziiz bin Riys Al-Riys Hafidhwahullah :
" Wananukuu baadhi ya Watu katika Mitandao ya Nawaziliano ya Sheikh Ibn 'UthImyn kwamba Masalafi ni ' HiZBU ' ( Chama ) na kwamba Njia sahihi ni kujiepusha na Vyama hivi na baina ya Chama cha Masalaf na kundi lao , ni nini usaihi wa Maneno haya na vipi itaelekezwa ? .
▶ Amejibu Sheikh :
" Yanachukuliwa Maneno yake kwamba anahadharisha Watu katika wanaojinasibisha na Usalafi ' kuta'aswab' (kuelemea) kwa Mtu na wakawa wanajikusanya juu yake na kuhamisha kwao kujikusanya kwao juu ya Haki yaani juu ya Kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa Wema wa Umma huu na kuelekea kwao kuta'aswab' ( kuelemea ) kwa Shekhe huyu au Shekhe yule .
Na hili ndio alilokuwa akilihadharisha Shekhe wetu Rahimahullahu Ta'ala na imetokea kwa baadhi ya Masalaf na wamekosea kwa hilo Masalafi wengi . Kwani Mizani ni Kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa Wema waliotangulia kwa hilo *na mwenye kufanya hivyo atakuwa ni Mkosa yoyote atakaekuwa ni Mkubwa au Mdigo* , hivyo Shekhe wetu alikuwa akihadharisha katika wale tuliotangulia kuwataja na hao walikuwepo na wakakutwa wana kitu katika Ta'aswub ( kuelemea kwa Mashekhe fulani ) . na wengi katika wao Alhamdulillah wamerejea na atakae endelea na Ta'aswub yake hakika atakuwa anakosea , na haki ni lazima ibainishwe , na isipokuwa Shekhe wetu analingania Usalafiyyah na kuelekea Njia ya Wema waliotangulia kama ikivyotangulia kukaririwa " .
◀️ سئل د. عبدالعزيز بن ريس الريس حفظه الله :
◀ يقول السائل :
يتناقل البعض في وسائل التواصل كلامًا للشيخ ابن عثيمين: أن السلفيين حزب، وأن الطريق الصحيح اجتناب هذه الأحزاب، ومن بين الحزب السلفيين وفرقتهم، ما صحة الكلام؟ وكيف يوجه؟
◀️ أجاب الشيخ :
يحمل كلامه على أنه كان يحذِّر أن يتعصب أقوام من المنتسبين للسلفية إلى شخص، فيتحزبون عليه، فينتقل تحزبهم على الحق، أي: على الكتاب والسنة بفهم سلف هذه الأمة إلى تعصبهم على هذا الشيخ أو ذاك الشيخ.
هذا الذي كان يحذّر منه شيخنا رحمه الله تعالى، قد وقع من بعض السلفيين وخُطِّئُوا في ذلك من أكثر السلفيين، فإن الميزان هو الكتاب والسنة بفهم سلف هذه الأمة، لذا من فعل ذلك فهو مخطئ، ويخطئ أيًا كان كبيرًا أو صغيرًا.
فإذًا شيخنا كان يحذِّر ممن تقدم ذكرهم، وهؤلاء وُجِدوا، ووُجِد عندهم شيء من التعصب، وكثير منهم – الحمد لله- رجع، ومن استمر على تعصبه، فإنه يُخَطَّأ؛ والحق لابد أن يبين، وإلا فإن شيخنا يدعو إلى السلفية، وإلى طريق السلف الصالح على ما تقدم تقريره .
*3 - SHEIKH BAKR ABU ZAID RAHIMAHULLAH* .
▶️ Amesema Sheikh Bakr Abu Zaid Rahimahullah :
Kitabu hiki , kimehamasisha UHIZBIYA MPYA ambao umepandikizwa katika Nafsi za Vijana kuelemea kwenye Fikra za kuharamisha , na mara kwa kutengua ( Imani za Watu), na mara hii ni Bida'a , na yule ni Mtu wa Bida'a na huu ni Upotovu , na yule ni Mpotovu , ... na (tuhuma zote hizi ) hazina Ushahidi wa kutosha kwa ajili ya kuthibitisha (hayo) " .
( Alkhitwaabu-Dhahbiy )
*4- SHEIKH MUHAMMAD NAASWIRUDDIN AL- ALBAANIY RAHIMAHULLAH.*
▶️ Amesema Sheikh Al-Albaaniy Rahimahullah :
" Mimi ninatoa Nasaha , msizame kwenye Undani huu , *kwa sababu tunauguliwa HIVI SASA na hili KUNDI LILILIZUKA* kwa wale wanajinasibisha na kulingania kwenye Kitabu na Sunnah au kama tunavyosema sisi : (kulingania) Da'awa Salafiyah .
Kundi hili , na Allah ni Mjuzi zaidi , sababu kubwa iliyomo ndani ya kundi hili ni kuitukuza Nafsi ( kwa kujiona bora) , nafsi yenyekuamrisha Maasi na Matamanio , na sababu sio (hizi) khilafu katika baadhi ya Rai za Kifikra .
Hizi ndio Nasaha zangu .
(Silsilatu-lhudaa wa nnuur Kaseti Na. 843 )
◀️ قال الشيخ محمد ناصر الدين الألباني رحمه الله :
" انظر! -يا أخي- أنا أنصحك أنت والشباب الآخرين الذين يقفون في خط منحرف فيما يبدو لنا والله أعلم:
ألا تضيعوا أوقاتكم في نقد بعضكم بعضاً، وتقولوا: فلان قال كذا، وفلازن قال كذا؛ لأنه أولاً:
هذا ليس من العلم في شيء،
وثانياً : هذا الأسلوب يوغر الصدور، ويحقق الأحقاد والبغضاء في القلوب، إنما عليكم بالعلم، فالعلم هو الذي سيكشف هل هذا الكلام في مدح زيد من الناس الذي له أخطاء كثيرة؟ وهل -مثلاً- يحق لنا أن نسميه صاحب بدعة؟ وبالتالي هل هو مبتدع؟ ما لنا ولهذه التعمقات؟
◀️ قال الشيخ محمد ناصر الدين الألباني رحمه الله:
" أنا أنصح بألا تتعمقوا هذا التعمق؛ لأننا في الحقيقة نشكو الآن هذه الفرقة التي طرأت على المنتسبين لدعوة الكتاب والسنة، أو كما نقول نحن: للدعوة السلفية، هذه الفرقة -والله أعلم- السبب الأكبر فيها هو حظ النفس الأمارة بالسوء، وليس هو الخلاف في بعض الآراء الفكرية، هذه نصيحتي " .
( سلسلة الهدي و النور شريط رفم ٧٨٤ )
*
*5 - SHEIKH SWALEH AL-FAWZAAN HAFIDHWAHULLAH:** **
▶ Amesema Sheikh Alfawzaan Hafidhwahullah :
" Na kama ukitaka kuwafuata Salaf ni lazima ujue Njia yao , na haitowezekana kufuata Njia ya Salaf isipokuwa utakapo jua Njia yao na ukaijua vizuri Manhaji yao ili upate kupita juu yake .
Ama ukiwa pamoja na ujinga , haitowezekana kutembea juu ya Njia yao , na wewe ukawa ni mjinga wa hiyo Njia na wala huijui , au unawanasibishia (Salaf) na Kauli ambayo hawajaisema na wala hawajatakidi , unasema :
" HAYA NI MADHEHEBU YA SALAF " *, kama inavyopatikana kutoka kwa baadhi ya Wajinga *HIVI* *SASA* ambao wanajiita nafsi zao kwamba wao ni MASALAFI kisha wana wakhalifu na wanafanyaTashdiyd (Ugumu)* na wanakufurusha na wanawatia Watu katika Ufuska na kuwatia Watu katika BID'AA .
Masalafi hawakuwa wakiwatia Watu katika Bid'aa na kukufurisha na kuwatia Watu katika Ufuska isipokuwa kwa Dalili na Hoja , sio (kwa) Hawaa na Ujinga . Wewe unachora mstari na unasema :
***" ATAKAEUPINGA BASI ATAKUWA NI MTU WA BID'AA NA ATUKUWA MPOTEVU .**
*
◀ قال الشيخ صالح الفوزان حفظه الله :
فإذا أردت أن تتبع السلف لا بد أن تعرف طريقتهم ، فلا يمكن أن تتبع السلف إلا إذا عرفت طريقتهم وأتقنت منهجهم من أجل أن تسير عليه ، وأما مع الجهل فلا يمكن أن تسير على طريقتهم وأنت تـجهلها ولا تعرفها ، أو تنسب إليهم ما لم يقولوه ولم يعتقدوه ، تقول : هذا مذهب السلف ، كما يحصل من بعض الجهال – الآن – الذين يسمون أنفسهم (سلفيين) ثم يخالفون السلف ،ويشتددون ويكفرون ، ويفسقون ويبدعون .
السلف ما كانوا يبدعون ويكفرون ويفسقون إلا بدليل وبرهان ، ما هو بالهوى أو الجهل ، إنك تـخط خطة وتقول : من خالفها فهو مبتدع ، فهو ضال ..."
( من إجابات الشيخ علي أسئلة الحضور في شرح العقيدة الطحاوية )
*
*6 - SHEIKH ABDUL-MUHSIN AL-'ABBAAD HAFIDHWAHULLAH .**
▶ Amesema Sheikh Al-'abbaad Hafidhwahullah :
*" Kumetokea ZAMA HIZI baadhi ya Ahlusunna kushughulishwa na Kujeruhiana na kuhadharishana wenyewe kwa wenyewe , na imeapelekea hillo kufarikiana na kutengana na kuhamana (kususiana) .*
Na ilikuwa inavyotakiwa bali ni jambo la Wajibu kupendana ba kurehemeana baina yao na kusimama kwao Safu moja katika kupambaba na Watu wa Bid'aa na Hawaa wanaiwapinga Ahlusunnah wal-Jamaa , na linarejea hilo kwa sababu mbili :
Mohawapo : *Katika Ahlusunnah wa ZAMA HIZI kuna ambae Dini yake na Shughuli yake inayomshughlisha ni kufuatilia Makosa (ya Watu) na kuyatafuta , ni sawa iwe kwenye (Vitabu) vilivyotungwa au kwenye Kaseti kisha kumhadharisha yule aliekutwa na chochote katika hayo makisa . ."*
( Rifqan Ahlussunnah bi Ahliszunnah )
◀ قال الشيخ عبد المحسن العباد حفظه الله:
" حصل في هذا الزمان انشغال بعض أهل السنة ببعض تجريحاً وتحذيراً، وترتب على ذلك التفرق والاختلاف والتهاجر،وكان اللائق بل المتعين التواد والتراحم بينهم، ووقوفهم صفاً واحداً في وجه أهل البدع والأهواء المخالفين لأهل السنة والجماعة، ويرجع ذلك إلى سببين:
أحدهما: أن من أهل السنة في هذاالعصر من يكون ديدنه وشغله الشاغل تتبع الأخطاء والبحث عنها، سواء كانت في ٧المؤلفات أو الأشرطة، ثم التحذير ممن حصل منه شيءٌ من هذه الأخطاء .."
( رفقا أهل السنة بأهل السنة )
*
*7 - SHEIKH ABDALLÀH AL- MUTWLAQ HAFIDHWAHULLAH*
*
▶ Ameulizwa Sheikh Abdallah Al-Mutwlaq :
" Ni nani hao (kundi la Al-Jaamiyah ?
▶ Akajibu :
" Hii ni Lafdhi ya Jina lilioitwa Kundi katika Masalaf , hili ni Kundi lililotoka katika Wakati katika Nyakati likimfuata Sheikh Muhammad Amanil-Jamiy , basi limejulikana kwa kuwafanyia Ugumu Ndugu zao katika Masalaf ba haya ni katika Mambo yanayotuumiza , yaani kuwa Mikuki yetu tunailekeza katika Vifua vya ndugu zetu , wallahi huu ni Msiba kwa mfano baadhi ya Wakati mameelekeza Bunduki kwa Sheikh Bakr Abu Zaid na Sheikh Abdallah bin Jibriin na hivi sasa wameelekeza kwa Sheikh Sa'ad Al-Breik na kwa baadhi ya Ndugu . . ."
*8 - DR . 'ABDUL-RAZZAAQ ASHAAIJY HAFIDHWAHULLAH 😘
▶ Amesema Dr . 'Abdul-Razzaaq Ashaaijy katika Utangulizi wa Kitabu chake ' Al-Khutwuutw Al-'arydhwa li ad'iyaai-ssalagiyah :
" Na hizi ni Hati zilizopana za Fikra mpya zinazinasibishwa na Sunnah iliyofunikwa na Shuka la Usalafiyah maneno yaliyovishwa Vazi la Ahlusunnah wal-Jamaa kwa uongo na tulitaka kuxurusu Fikra hii na kukusanya Asili na Misingi yake bila kujali Msemaji wake na mwenye kuzieneza .
Hakika hima yetu ni kuhadharisha Fikra hii ambayo imesimama kwa ajili ya Matusi na kufedhehesha na kujeruhi bila kujeruhi kwa hakika na kubadiisha bila (dalili) ya kubadiisha na kukufurisha bila Vidhibiti na kushughulishwa na Walinganiaji kuelekea kwa Allah badala ya Watu wengine , na kutanguliza kuwapiga Vita ( Walinganiaji ) badala ya Makafiri na Wanafiki na Watu wa kidunia na Watu wa mrengo wa Kushoto .
Na tunaweza kuwaita Watu wenye Fikra hii kuwa ni ' Watu wa kujeruhi ' ( Al-Jarraahiyn) na hii ndio Shughuli yao inayowashughulisha , na hii ndio Kazi yao ya Kida'awa ya msingi ambayo wameuchukua kuwa ni Dini wanajikurubisha kwa Allah nayo , basi ni lini ikawa kutukana na Kushutumu kuwa ni Dini ?
( Al-Khutwuutw Al-'Ariidhwa li ad'iyaai Ssalafiyah Uk .
◀ قال الدكتور عبد الرزاق الشايجي
مقدمة كتابه الخطوط العريضة لأدعياء السلفية :
فهذه الخطوط العريضة لفكر جديد منتسب إلى السنة متلفع بمرط السلفية كلام، و يتدثر برداء أهل السنة
والجماعة زوراً، وقد أردنا دراسة هذا الفكر وجمع أصوله وقواعده دون الإهتمام بقائليه ومروجيه، فإن ما
يهمنا هو التحذير من هذا الفكر القائم على السب والتشهير والتجريح بغير جرح حقيقي، والتبديع بغير مبدع، والتكفير دون ضوابط، والإنشغال بالدعاة إلى الله
ً دون غيرهم من سائر الخللق، وتقديم حربهم على حرب الكفار و المنافقين و العلمانيين و اليساريين ، و نستطيع أن نسمي أصحاب هذا الفكر بالجراحين ، و هذا شغلهم الشاغل ، و هذا عملهم الدعوي الأساسي الذي أخذوه دينا يدينون الله به ، فمتي كان السبب و الشتم دينا ! .
ً
( مقدمة الكتاب الخطوط العريضة لأدعياء السلفية)
▶ MWISHO :
Ukisoma Maneno yaliyosemwa na Mashekhe hapo juu kwa Ujumla wao , utagundua kwa yakini pasipo Shaka kwamba kundi la Salafiyah Jadiydah lipo hata kama limetajwa kwa Majina mengine tofauti kwa lengo la kulipambanua , na kwamba Kundi hili limeacha ile Njia sahihi ya Wema waliotangulia , na Mashekhe hao waliligutukia hili mara baada ya kuzuka kwake na wakawa imara kwa kulifanyia Radd na kulihadharisha kutokana na Fitna kubwa waliyoileta wale wote wanaojinasibisha na Kundi hili na kusababisha Farqa kubwa baina ya Watu wa Sunnah na kuvunja na kuangusha heshima za Watu .
Allah awaongoze na atuepushe na Fitna zao na aangamize Juhudi zao za kutaka kuizimisha Daawa ya Sunnah na Manhaj sahihi ya Wema waliotangulia .
Wa billahi Attawfiiq .
Ndugu yenu katika Sunnah ,
Salim Barahiyan.