Haki za Kibinadamu na Uadilifu katika Kiislamu - Dini ya Kiislamu: Kiangazio cha misingi ya haki za binadamu zilizowekwa na Uislamu. Tovuti hii ni kwa ajili ya watu wa dini mbalimbali wanaotaka kuufahamu Uislamu na Waislamu. Ina makala nyingi fupi, lakini zenye taarifa kuhusu vipengele mbalimbali vya Uislamu. Makala mpya huongezwa kila wiki. Pia, inaangazia Usaidizi wa Moja kwa Moja kupitia maongezi.
ليست هناك تعليقات:
إرسال تعليق