الأربعاء، 12 يونيو 2019

Al-kashaafu (Mwangaza) Katika Adabu Za Itikafu - Kiswahili - Muhammad Salih Al-Munajjid

Al-kashaafu (Mwangaza) Katika Adabu Za Itikafu - Kiswahili - Muhammad Salih Al-Munajjid: Kitabu hiki kina zungumzia Mwangaza kuhusu ibada ya kukaa itikafu, maana yake adabu zake na masharti ya itikafu na faida zake, pia kimelezea sehemu na wakati wa itikafu, na itikafu ya mfanya kazi na makosa ya wanaofanya itikafu.

ليست هناك تعليقات:

إرسال تعليق