الأحد، 5 ديسمبر 2021

Ishara za Mungu (sehemu ya 1 kati ya 2) - Dini ya Kiislamu

Ishara za Mungu (sehemu ya 1 kati ya 2) - Dini ya Kiislamu: Quran ni muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu na ilitumwa kwa Mtume Muhammad ambaye ndiye Mtume wa mwisho kwa wanadamu wote. Sehemu ya 1: Baadhi ya aina za ishara za Mwenyezi Mungu katika Quran. Tovuti hii ni kwa ajili ya watu wa dini mbalimbali wanaotaka kuufahamu Uislamu na Waislamu. Ina makala nyingi fupi, lakini zenye taarifa kuhusu vipengele mbalimbali vya Uislamu. Makala mpya huongezwa kila wiki. Pia, inaangazia Usaidizi wa Moja kwa Moja kupitia maongezi.

ليست هناك تعليقات:

إرسال تعليق