الأحد، 10 يوليو 2022

Kisa cha Isa na Maryamu katika Kurani Tukufu (sehemu ya 1 kati ya 3): Maryamu - Dini ya Kiislamu

Kisa cha Isa na Maryamu katika Kurani Tukufu (sehemu ya 1 kati ya 3): Maryamu - Dini ya Kiislamu: Mfululizo huu wa sehemu tatu una aya nyingi kutoka kwa Kurani Tukufu kuhusu Maryamu (Mama wa Isa) pamoja na kuzaliwa kwake, utoto wake, sifa zake za kibinafsi, na kuzaliwa kimiujiza kwa Isa. Tovuti hii ni kwa ajili ya watu wa dini mbalimbali wanaotaka kuufahamu Uislamu na Waislamu. Ina makala nyingi fupi, lakini zenye taarifa kuhusu vipengele mbalimbali vya Uislamu. Makala mpya huongezwa kila wiki. Pia, inaangazia Usaidizi wa Moja kwa Moja kupitia maongezi.

ليست هناك تعليقات:

إرسال تعليق