الثلاثاء، 9 أغسطس 2022

Utafutaji wa Amani ya ndani (sehemu ya 2 kati ya 4): Kukubali Hatima au takdiri - Dini ya Kiislamu

Utafutaji wa Amani ya ndani (sehemu ya 2 kati ya 4): Kukubali Hatima au takdiri - Dini ya Kiislamu: Nakala hii ya pili inatoa mifano halisi na hadithi zinazoonyesha umuhimu wa kutambua kwamba kila mtu maishani anakabiliwa na vizuizi ndani ya uwezo wake na vizuizi vilivyo nje ya uwezo wake na kwamba vizuizi vilivyo nje ya uwezo wa mtu vinapaswa kuzingatiwa kama hatima kutoka kwa Mungu Mwenyezi. Tovuti hii ni kwa ajili ya watu wa dini mbalimbali wanaotaka kuufahamu Uislamu na Waislamu. Ina makala nyingi fupi, lakini zenye taarifa kuhusu vipengele mbalimbali vya Uislamu. Makala mpya huongezwa kila wiki. Pia, inaangazia Usaidizi wa Moja kwa Moja kupitia maongezi.

ليست هناك تعليقات:

إرسال تعليق