الجمعة، 23 سبتمبر 2022
Kwanini Waislamu wanawaita wengine kwenye Uislamu? - Dini ya Kiislamu
Kwanini Waislamu wanawaita wengine kwenye Uislamu? - Dini ya Kiislamu: Waislamu wanataka kusirikiana kimawazo katika maisha na kila mtu wanae kutana nae. Wanataka wajisikie vizuri kama wao na hii ndio sababu. Tovuti hii ni kwa ajili ya watu wa dini mbalimbali wanaotaka kuufahamu Uislamu na Waislamu. Ina makala nyingi fupi, lakini zenye taarifa kuhusu vipengele mbalimbali vya Uislamu. Makala mpya huongezwa kila wiki. Pia, inaangazia Usaidizi wa Moja kwa Moja kupitia maongezi.
الاشتراك في:
تعليقات الرسالة (Atom)
ليست هناك تعليقات:
إرسال تعليق