Hadithi: Mambo kumi ni katika maumbile: Kupunguza masharubu, na kuziachia ndevu,na kupiga mswaki, na kupandisha maji puani, na kupunguza kucha, na kuosha fundo za vidole, na kunyofoa nywele za makwapani, na kunyoa nywele za sehemu za siri, na kustanji kwa maji. - Mkusanyiko wa Hadithi za Mtume zilizotafsiriwa
ليست هناك تعليقات:
إرسال تعليق