Hadithi: Aliniusia mimi kipenzi changu -rehema na amani ziwe juu yake kwa mambo matatu: kufunga siku tatu katika kila mwezi, na rakaa mbili baada ya kuchomoza jua (Dhuhaa), na nisali witiri kabla sijalala - Mkusanyiko wa Hadithi za Mtume zilizotafsiriwa
ليست هناك تعليقات:
إرسال تعليق