الاثنين، 21 مارس 2022

Mambo tunayojifunza kutoka kwa Hadithi ya Mama wa Musa - Dini ya Kiislamu

Mambo tunayojifunza kutoka kwa Hadithi ya Mama wa Musa - Dini ya Kiislamu: Hadithi za Qurani zipo pale ili tuweze kupata masomo kutoka kwazo. Katika makala hii, tutajifunza masomo kadhaa kutoka kwa mama wa mmoja wa mitume wakuu wa Mungu, hasa kuhusu kumtegemea Mungu na matokeo ya kufanya hivyo. Tovuti hii ni kwa ajili ya watu wa dini mbalimbali wanaotaka kuufahamu Uislamu na Waislamu. Ina makala nyingi fupi, lakini zenye taarifa kuhusu vipengele mbalimbali vya Uislamu. Makala mpya huongezwa kila wiki. Pia, inaangazia Usaidizi wa Moja kwa Moja kupitia maongezi.

ليست هناك تعليقات:

إرسال تعليق