Hadithi: Nilikuwa ni mtu mwenye madhii mengi, nikaona haya kumuuliza Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- kwasababu ya nafasi ya binti yake kwangu, nikamtuma Mikidadi bin Aswadi akamuuliza, akasema: Ataosha tupu yake, na atatawadha - Mkusanyiko wa Hadithi za Mtume zilizotafsiriwa
ليست هناك تعليقات:
إرسال تعليق