الاثنين، 3 يناير 2022

Al-Salaam – (Amani) – Jina la Mungu - Dini ya Kiislamu

Al-Salaam – (Amani) – Jina la Mungu - Dini ya Kiislamu: Ufafanuzi wa mojawapo ya jina zuri la Mwenyezi Mungu, al-Salaam, ambalo linatufahamisha ukamilifu wa Mungu na kwamba Yeye ndiye chanzo cha amani na kuridhika. Tovuti hii ni kwa ajili ya watu wa dini mbalimbali wanaotaka kuufahamu Uislamu na Waislamu. Ina makala nyingi fupi, lakini zenye taarifa kuhusu vipengele mbalimbali vya Uislamu. Makala mpya huongezwa kila wiki. Pia, inaangazia Usaidizi wa Moja kwa Moja kupitia maongezi.

ليست هناك تعليقات:

إرسال تعليق