Maryamu, Mamake Yesu (sehemu ya 1 kati ya 2): Maryamu ni nani? - Dini ya Kiislamu: Wakristo wanamjua Maryamu, mamake Yesu. Vile vile Waislamu pia wanamtambua kama mamake Isa, au kwa Kiarabu, Umm Issa. Katika Uislamu Maria mara nyingi anaitwa Maryam bint Imran; Maryamu binti wa Imran. Makala haya yanatoa historia fulani kuhusu kulelewa k...
ليست هناك تعليقات:
إرسال تعليق