IslamHouse.com Kiswahili - Swahili - سواحيلي
🔊🔊🔊🕌
*PINDI UNAPO ISIKIA ADHANA JIULIZE MASWALI YAFUATAYO:*

(1 ) Hiyo ni sauti gani?
(2 ) Inamuhitaji nani?
(3) Je? mimi si miongoni mwa hao wanaohitajika?
(4) je? wale wanaoitikia wito kwa kutekeleza Ibada ni Akina nani na mm ni nani?
(5) kama Nitaondoka ktk Dunia hii Nitakwenda kumjibu nini Manani? "kwamba Adhana sikuisikia?
"Misikiti sikuiona?
"Au sikupata mtu wa kunikumbusha?

*Tambua hakuna wa kukufanyia IBADA" Zaidi ya wewe mwenyewe.*
🤚Watumie nawengne kama Unawatakia kheri.
Anza na Nafsi yako kisha wazazi wako na familia yako kisha marafiki zako.

ليست هناك تعليقات:
إرسال تعليق