🏹🏹🏹🏹🏹🏹🏹
*HUU NDIO UKWELI KUWA MASHIA (RAAFIDHWA) NDIOWALIOANZISHA MAULIDI*
________________________
*IJUE HISTORIA YA KUZUKA MAULIDI*
_____________________
*HUU NDIO UKWELI KUWA MASHIA (RAAFIDHWA) NDIOWALIOANZISHA MAULIDI*
________________________
*IJUE HISTORIA YA KUZUKA MAULIDI*
_____________________
*Kama tujuavyo kuwa kila ibada ina historia ya kuanzia kwake*
*MFANO: kama vile ibada ya swala utaskia ilianza muda fulan, hijiria*
*au ibad ya hija ilifaradhishwa mwaka fulan hijiria*
*au ibada ya funga ilifaradhishwa mwaka fulan hijiria na ibada nyingi katika uislam utaskia namna ilivyobainishwa muda wake uliofaradhishwa*
*Au hata baadhi ya IBADA za sunna utaona zina maelezo katika sheri vipi zifanywe*
*au SABABU gani iliyopelekea KUFANYIKA ikiwa ni zile IBADA zilizonukuliwa SABABU yake*
*Swali lina kuja* :
👇
*KAMA MAULIDI NI IBADA*
👇
*KAMA MAULIDI NI IBADA*
*je ibada hii ya kusherehekea kuzaliwa kwa mtume munasaba na kila ifikapo mfungo sita ilianzishwa mwaka gani?*
* *nani?*
*Kwa MFUMO gani?*
* *nani?*
*Kwa MFUMO gani?*
??????????????
*Je ilianzishwa na MTUME?*
*HAKUNA DALILI KWENYE KITABU WALA SUNNA KUWA MTUME SWALLA LLAH ALAYHI WASALAM ALIANZISHA AU ALIAGIZA KUFANYIKA MAADHIMISHO KILA IFIKAPO SIKU NA MWEZI SAMBAMBA NA SIKU ALOZALIWA*
🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊
🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊
JE WALIANZISHA MASWAHAB??
Abubakar swidiq?
Au OMAR bin AL khatwaab?
Au uthmaan bin hafan?
Au ally bin ABI twaalib?
AU Hasan bin ALLY?
Au husein bin Ally?
Au Muawiya bin sufian?
Au OMAR bin AL khatwaab?
Au uthmaan bin hafan?
Au ally bin ABI twaalib?
AU Hasan bin ALLY?
Au husein bin Ally?
Au Muawiya bin sufian?
👇👇👇👇👇👇👇👇
* حكم أبو بكر رضي الله عنه (سنتين) ولم يفعل (الإحتفال) بالمولد وهو (صديق) الأمة وصاحب (النبي) صلى الله عليه وسلم في الغار ..!!
ALIHUKUMU SWAHABA ABUBAKAR
SWIDIK MIAKA MIWILI BAADA YA KUFA MTUME SWALLA LLAH ALAYHI WASALAM NA WALA HAJAFANYA MAULIDI YA MTUME SWALLA LLAH ALAYHI WASALAM NA YEYE ALIKUWA NDIO MKWELI WA HUU UMMA NA ALIKUWA NDIO MTU WA KARIBU WA BWANA MTUME SWALLA LLAH ALAYHI WASALAM ALIPOKUWA KWENYE PANGO.

●●●●●●●●●●●●●●●●
* وحكم عمر (10) سنوات ولم يفعل (الإحتفال) بالمولد وهو (فاروق) الأمة وملهمها ..!
NA AMEHUKUMU SWAHAABA OMAR BIN ALKHATWAAB MIAKA KUMI BAADA YA ABUU BAKARI SWIDIK LAKINI OMAR RADHIALLAHU ANHU HAKUFANYA MAULIDI NA YEYE NDIO MWENYE KUTENGANISHA HAKI NA BAATWILI KATIKA HUU UMMA NA MHIMILI MKUBWA KATIKA DINI,
●●●●●●●●●●●●●●●●
* وحكم عثمان 13 عاما ولم يفعل (الإحتفال) بالمولد وهو زوج (البنتين) وصاحب (الهجرتين) أشد هذه الأمة حياء ..!
NA AMEHUKUMU SWAHABA OTHMAN MIAKA 13 BAADA YA OMAR RADHIALLAHU ANHU LAKINI HAKUFANYA MAULIDI NA HALIYAKUWA YEYE NDIO MUME WA MABINTI WAWILI WA MTUME SWALLA LLAH ALAYHI WASALAM

NA NDIO BWANA WA HIJIRA MBILI NA NDIO MTU MWENYE HAYA ZAIDI KATIKA HUU UMMA.
●●●●●●●●●●●●●●●●
* وحكم علي 4 أعوام ولم يفعل (الإحتفال) بالمولد وهو ابن عم رسول الله وزوج سيدة نساء أهل الجنة ...!
NA AMEHUKUMU SWAHABA ALLY BIN ABII TWAALIB MIAKA MINNE(4) NA HAKUFANYA MAULIDI
HALIYAKUWA YEYE NI MTOTO WA BABA MDOGO WA MTUME SWALLA LLAH ALAYHI WASALAM NA MUME WA MABIBI WA WANAWAKE WA PEPONI FAATWIMA BINT RASULALLAH,
HALIYAKUWA YEYE NI MTOTO WA BABA MDOGO WA MTUME SWALLA LLAH ALAYHI WASALAM NA MUME WA MABIBI WA WANAWAKE WA PEPONI FAATWIMA BINT RASULALLAH,
●●●●●●●●●●●●●●●●
* وحكم الحسن 6 أشهر ولم يفعل (الإحتفال) بالمولد وهو (سبط) النبي صلى الله عليه وسلم وسيد (شباب) أهل الجنة ...!
NA AMEHUKUMU HASANI BIN ALLY BIN ABII TWAALIB MIEZI SITA (6) BAADA YA ALLY LAKINI HAKUFANYA MAULIDI NA YEYE NI MJUKUU WA MTUME SWALLA LLAH ALAYHI WASALAM PIA NI BWANA WA VIJANA WA PEPONI.

* وحكم معاوية ولم يفعل (الإحتفال) بالمولد وهو خير ملوك الإسلام ..!
NA ALIHUKUMU SWAHABA MUAWIYA BIN ABII SUFIYANI NA HAJAFANYA MAULIDI NA YEYE NDIO BORA WA WAFALME KATIKA UISLAM.
* وحكم معاوية ولم يفعل (الإحتفال) بالمولد وهو خير ملوك الإسلام ..!
NA ALIHUKUMU SWAHABA MUAWIYA BIN ABII SUFIYANI NA HAJAFANYA MAULIDI NA YEYE NDIO BORA WA WAFALME KATIKA UISLAM.
●●●●●●●●●●●●●●●●
* وجاءت الدولة (الأموية) وفيها مثل (عمر) بن عبد العزيز، وجاءت الدولة (العباسية) وفيها مثل (هارون) الرشيد ولم يفعلوا المولد ..!
NA UKAJA UTAWALA WA BANII UMAYYA NA NDANI YAKE AKIWEMO OMAR BIN ABDUL AZIZI
NA UKAJA UTAWALA WA ABASIYYA NA MFANO WAKE AKIWEMO HARUNA RAASHID LAKINI HAWAKUFANYA MAULIDI...
NA UKAJA UTAWALA WA ABASIYYA NA MFANO WAKE AKIWEMO HARUNA RAASHID LAKINI HAWAKUFANYA MAULIDI...
●●●●●●●●●●●●●●●●
* هذا وعلماء الإسلام (حقاً) وأحباب (النبي) صلى الله عليه وسلم صدقاً، لم يحتفلوا بمولده طيلة (القرون) المفضلة مع شدة (معرفتهم) لما أنزل الله، وعظيم (فقههم) لما في كتاب الله، كيف وهم حملة القرآن ورواة الآثار ..؟
*HAWA WOTE PAMOJA NA WANACHUONI WA KIISLAM WANAYO HAKI ZAIDI NA WANA MAPENZI ZAIDI NA MTUME NA NI WAKWELI*
*LAKINI HAWAJAFANYA MAULIDI*
*PAMOJA NA MUDA MREFU KUPITA WA KARNE BORA PAMOJA NA UJUZI ZAIDI JUU HII DINI ALIYOITEREMSHA ALLAH
BALI PAMOJA NA UJUZI NA UFAHAMU MKUBWA WA KITABU CHA ALLAH*
BALI PAMOJA NA UJUZI NA UFAHAMU MKUBWA WA KITABU CHA ALLAH*
VIPI WAO WASIFANYE MAULIDI HALIYAKUWA WAMEBEBA KITABU CHA ALLAH NA WAMEPOKEAz*
🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊
🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊
*Sasa ni nani*
*ameyaanzisha*
*ameyaanzisha*
*IMAM ABUU HANIFA?*
*Au IMAM Shafii?*
*Au IMAM Shafii?*
*Au IMAM MAALIK ?*
*Au IMAM Ahmad?*
❌❌❌❌❌❌❌❌❌
*Hebu turudi kwenye taarekhe kidogo*
*Hebu turudi kwenye taarekhe kidogo*
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
وإذا تتبعنا كتب التاريخ نجد أن ما يسمى بـ"الاحتفال المولد النبوي" بدعة محدثة كان أول من أحدثها هم الفاطميون،
وإذا تتبعنا كتب التاريخ نجد أن ما يسمى بـ"الاحتفال المولد النبوي" بدعة محدثة كان أول من أحدثها هم الفاطميون،
*NA TUKIFATILIA KWENYE TAAREKH YA KIISLAM TWAKUTA HAYA YANAYOITWA*
*SHEREHE ZA SIKU YA KUZALIWA MTUME, NI UZUSHI ULIOZUKA , WA KWANZA KATIKA WALIOANZISHA UZUSHI HUU NI MASHIA WA DHEHEBU LA FAATWIMIYA*
"وكان للفاطميين في طول السنة: أعياد ومواسم وهي:
*NA WALIKUWA HAWA MASHIA WA DHEHEBU LA FAATWIMIYA WALIKUWA KWA MWAKA MZIMA WANA SIKUKUU NA MISIMU MBALI MBALI*
*NAYO NI KAMA IFUATAVYO*
موسم رأس السنة،
*MSIMU WA SIKUKUU YA KICHWA CHA MWAKA*
وموسم أول العام،
*MSIMU WA SIKUKUU YA MWANZO WA MWAKA*,
ويوم عاشوراء،
*SIKUKUU YA AASHURA*
*SIKUKUU YA AASHURA*
ومولد النبي - صلى الله عليه وسلم -،
*NA SIKUKUU YA KUSHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA MTUME SWALALLAHU ALAYHI WASALAM*
ومولد علي بن أبي طالب - رضي الله عنه -،
*NA SIKUKUU YA ALLY BIN ABII TWAALIB RADHI ZA ALLAH ZIMUENDEE*,
ومولد الحسن،
*NA SIKUKUU YA ALLY BIN ABII TWAALIB RADHI ZA ALLAH ZIMUENDEE*,
ومولد الحسن،
*NA SIKU KUU YA KUSHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA HASA BIN ALLY BIN SBII TWAALIB*
ومولد الحسين
ومولد الحسين
*NA MAULID YA HUSEIN BIN ALLY BIN ABII TWAALIB*
- -، ومولد فاطمة الزهراء - عليها السلام -،
*NA MAULIDI YA FAATWIMA AZAHARAA ALLAH AMPE SALAMA*
ومولد الخليفة الحاضر،
*NA MAULIDI YA KHALIFA HAADHIR*
*NA MAULIDI YA KHALIFA HAADHIR*
وليلة أول رجب
*NA SIKUKUU YA USIKU WA MWEZI WA RAAJABU*
، وليلة نصفه
*NA USIKU WA NUSU RAAJAB*
، وليلة أول شعبان، وليلة نصفه،
*NA MAULIDI YA USIKU WA MWANZO NA IFIKAPO NUSU YA MWEZI WA SHAABAN*,
*NA MAULIDI YA USIKU WA MWANZO NA IFIKAPO NUSU YA MWEZI WA SHAABAN*,
وكان ظهور هذه البدعة في عهد المعز لدين الله الفاطمي العبيدي الباطني من بني عبيد القداح،
*NA IMEKUWA KUDHIHIRI KWA UZUSHI HUU NI KATIKA ZAMA MTAWALA ANAYEITWA*
*NA IMEKUWA KUDHIHIRI KWA UZUSHI HUU NI KATIKA ZAMA MTAWALA ANAYEITWA*
*IZU DDINI LAH*
*ANAENASIBISHWA NA DHEHEBU LA KISHIA LA FAATWIMIYA NA UBEIDIYYA, AL BAATWINIYA ANAETOKANA NA BANI UBAIDI ALKADAH*
ومن المعلوم أن الدولة الفاطمية لم تظهر إلا في عام 322هـ،
*NA KATIKA MIONGONI MWA YANAYOJULIKANA NI KWAMBA DOLA YA KISHIA YA DHEHEBU LA BAATWINIYA, HALIKUDHIHIRI ISPOKUWA MWAKA 322 BAADA YA HIJRA YA BWANA MTUME SWALLA LLAHU ALAYHI WASALAM*
*NA KATIKA MIONGONI MWA YANAYOJULIKANA NI KWAMBA DOLA YA KISHIA YA DHEHEBU LA BAATWINIYA, HALIKUDHIHIRI ISPOKUWA MWAKA 322 BAADA YA HIJRA YA BWANA MTUME SWALLA LLAHU ALAYHI WASALAM*
*HIVYO *
*WANAOYAEGEMEZA MAULIDI KUWA YAMEANZISHA NA MALIKI MUDHWAFAR
TAAREKHE INAONYESHA MUDHWAFAR ALIKUJA KUYAENDELEZA BAADAE KARNE YA SITA BAADA YA KUWA MASHIA HAWA WALISHAYAANZISHA*
TAAREKHE INAONYESHA MUDHWAFAR ALIKUJA KUYAENDELEZA BAADAE KARNE YA SITA BAADA YA KUWA MASHIA HAWA WALISHAYAANZISHA*
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
قال ابن بطة العنكبري: "وقد نتج عن ذلك قيام الدولة الفاطمية, فقد أعلنها المهدي عبيد الله والد الخلفاء الفاطميين العبيديين، وزعم أنه من ولد جعفر الصادق، واستولى على بلاد المغرب العربي، وتلقب بالخلافة، وكوَّن هناك دولة لا علاقة لها بالدولة العباسية، وقد حدث ذلك في سنة 322هـ
*AMESEMA MWANACHUONI IBN BATWA AL AKBURY
KWENYE KITABU CHAKE AL IBANA*
KWENYE KITABU CHAKE AL IBANA*
*KUWA LIMEPATIKANA JAMBO HILO LA UZUSHI WA KUISHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWA MTUME SWALALLAH ALAAYHI WASALAM, BAADA YA KUSIMAMA UTAWALA WA KISHIA WA MADHEHEBU YA FAATWIMIAYA*
*ALIYATANGAZA RASMI MAULID HUYO AL MAHAD
ABDULAH*
ABDULAH*
*AMBAYE NI BABA WA MAKHALIFA WA HUO UKOO WA KISHIA WA DHEHEBU LA FAATWIMIYA UBEIDIYYA*
*NA INADHANIWA KUWA YEYE NI KATIKA WATOTO WA JAAFAR ASWAADIQ AMBAYE HUYU NI MOJA YA MAIMAMU WA KISHIA*
*NA ALITAWALA KATIKA MIJI YA ARABU YA MAGHARIB AU KWA SASA HUJULIKANA KAMA MOROCO*
*NA ALIIPA JINA LA U KHALIFA*
*NA ALIANZISHA UTAWALA USIOFUNGAMANA NA UTAWALA ABASIYA*
*NA KWA MARA YA KWANZA LILIZUKA HILO LA MAULIDI YA MTUME MWAKA 322 HIJIRIA*
*NA SABABU KUBWA ILIOPELEKEA KUANZISHA KUSHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA MTUME*
*NI KWAMBA WALIWAONA WAKRISTO WAKISHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA YESU KILA IFIKAPO TAREHE 25 MWEZI WA KUMI NA MBILI*
*NDIO HUYO MTAWALA AKAONELEA NI BORA NA WAO WAIFANYE SIKU YA KUZALIWA MTUME NI SIKUKUU*

*NA HILI AMELITHIBITISHA IBN TAYMIYA RAHIMAHULLAH KWENYE IKTIDHWAAU SWIRATWAL MUSTAKIM UKURSA 294*
*BALI YALIFIFIA BAADAE KIDOGO NDIO KWENYE KARNE YA SITA LIKAJA FUFULIWA TENA NA MFALME MUDHWAFAR, NDIO MPAKA LEO HII*
والمتتبع لكتب التاريخ يجد أنه لا يعرف المؤرخون أن أحداً قبل الفاطميين احتفل بذكرى المولد النبوي فقد كانوا يحتفلون بالذكرى في مصر احتفالاً عظيماً،
*NA WENYE KUFATILIA MAMBO YA TAAREKHE YA KIISLAM, WANASEMA KUWA HAKUJA NUKULIWA KUWA KABLA YA HAWA MASHIA WA FAATWIMIA KULIKUWAKO NA KUSHEREHEKEA MAULID*
*HUKUTI ISPOKUWA WALIANZA HAWA MASHIA WA FAATWIMIYA*
*NA ILIKUWA KATIKA MJI WA MISRI WANASHEREHEKEA KULIKOKUWA KUKUBWA*
*JE NI IPI SIKU SAHIHI ALOZALIWA MTUME WETU?*
لكن مع هذا لم يثبت تاريخ صحيح في تحديد اليوم الذي ولد فيه النبي -صلى الله عليه وآله وسلم
*PAMOJA NA HAYO HAIJATHIBITI TAAREHE SAHIHI YA SIKU YA KUZALIWA MTUME*
*KUNA MAONI TOFAUTI JUU YA SIKU SAHIHI YA ALOZALIWA MTUME*
-، فقد جاءت كتب السير والتاريخ تحدثنا أن النبي - عليه الصلاة والسلام - ولد يوم الثاني عشر، وأخرى تذكر يوم الرابع عشر، وثالثة تؤكد على أنه كان في يوم السادس عشر، والحاصل أن تاريخ الولادة غير منضبط،
*IMEKUJA KATIKA VITABU VYA TAAREHE KUHUSU SIKU ALOZALIWA MTUME*
*KUNA WALOSEMA KUWA MTUME ALIZALIWA TAREHE KUMI NA MBILI MFUNGO SITA*
*NA WENGINE VYASEMA ALIZALIWA MWEZI KUMI NA NNE*,
*NA VYENGINE VYATILIA NGUVU KUWA ALIZALIWA MWEZI KUMI NA SITA*,
*BALI KWA UFUPI NI KUWA SIKU ALOZALIWA BWANA MTUME HAIJADHIBITIWA KWA MUAFAKA WA WANAZUONI* ,
*BALI KUNA MAONO KADHA WA KADHA JUU YA SIKU HALISI YA KUZALIWA MTUME SWALALLAH ALAYHI WASALAM*
*NA HILI PIA AMELITHIBITISHA SHEKHUL ISLAM BIN TAYMIYA RAHIMAHULLAH KWENYE IKTIDHWAAU SWIRATWAL MUSTAKIM (294)*

🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊
إلا أن الثابت قطعاً ويقيناً أنه - عليه الصلاة والسلام - توفي يوم الثاني عشر من ربيع الأول، فبماذا يحتفلون؟ بالثابت قطعاً؟ أم بالمشكوك في صحته؟،
*ISPOKUWA JAMBO WALILOAFIKIANA WANACHUONI KUWA KILICHOTHIBITI KWA MKATO NA KWA YAKINI KABISA JUU YA SIKU ALOKUFA BWANA MTUME SWALALLAHU ALAYHI WASALAM*
*NI TAREHE KUMI NA MBILI MWEZI RABIUL AWAL*
*SASA NI JAMBO GANI WATU WANASHEREHEKEA?*
*WANASHEREHEKEA SIKU YENYE SHAKA??*
*AU SIKU ISIYO NA SHAKA?*
👇👇👇👇👇👇
*HIVYO WATU WANASHEREHEKEA KILA IKIFIKA TAREHE KUMI NA MBILI MWEZI WA RABIUL AWAL KUWA NI SIKU YA KUZALIWA KWA MTUME*
👇👇👇👇👇👇
*HIVYO WATU WANASHEREHEKEA KILA IKIFIKA TAREHE KUMI NA MBILI MWEZI WA RABIUL AWAL KUWA NI SIKU YA KUZALIWA KWA MTUME*
*BASI JUWENI KUWA SIKU HIYO NDIO SIKU ISYOKUWA NA SHAKA KUWA NDIO SIKU ALOKUFA BWANA MTUME*
*ZINDUKA EWE NDUGU MUISLAM*.
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
*WATETEZI WA BIDAA YA MAULIDI (MASUFI) KAENI MKIJUWA KWAMBA MWAENDELEZA BIDAA YA MASHIA WANAOTUKANA MASWAHABA NA KUWAKUFURISHA NA KUWAKASHIFU WAKE ZA MTUME*
*ANAMALIZIA KULITHIBITISHA HILO IMAM AL MAKRIZY RAHIMAHULLAH*
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
يقول إمام المقريزي (764-845)ه في كتابه (المواعظ والإعتبار بذكرالخطط والآثار، 1/490):
يقول إمام المقريزي (764-845)ه في كتابه (المواعظ والإعتبار بذكرالخطط والآثار، 1/490):
*Anasema Imamu Amaqriiziy aliye zaliwa mwaka 764 akafa mwaka 845 H*
. *katika kitabu chake Almawaaidhu wal iitibaari bidhikril khutwatwi wal'aathaari.(1/490)*.
ذكر الأيام التي كان الخلفاء الفاطميون يتخذونها أعيادًا ومواسم تتسع بها أحوال الرعية وتكثر نعمهم.
*Anasimulia siku ambazo walikuwa makhalifa wa (dola) ya Alfaatwimiyyuun (Mashia wa ubeidiyyah) wanazifanya kuwa ni siku za sikukuu na msimu ambao (wanaitakidi kuwa) hali inakuwa nzuri kwa jamii na neemazao zinazidi*
قال: "وكان للخلفاء الفاطميين في طول السنة أعياد ومواسم؛ وهي مواسم رأس السنة، ومواسم أول العام، ويوم عاشوراء، ومولد النبي -صلى الله عليه وسلم-، ومولد علي بن أبي طالب، ومولد الحسن والحسين، ومولد فاطمة الزهراء، ومولد الخليفة الحاضر،.... .اهـ.
*Kasema : Na walikuwa makhalifa wa dola ya faatwimiyyiin katika mwaka mzima (walianzisha) idi na misimu*
*nao nimsimu wa mwisho wa mwaka na msimu wa mwanzo wa mwaka na siku ya Aashuuraa*
Na *MAULIDI YA MTUME* swala na salamu zimuendee na
*MAULIDI YA ALIY BIN ABII TWAALIBI*
*NA MAULIDI YA HASAN NA HUSEIN*
*NA MAULIDI YA FAATWIMATU AZZAHRAA*
*NA MAULIDI YA KHALIFA WA WAKATI HUO*
REJEA:
👇
المواعظ والإعتبار بذكر الخطط والآثار (1/490).
👇
المواعظ والإعتبار بذكر الخطط والآثار (1/490).
*Almawaaidhu wal'iitibaar bidhikril khutwatwi wal aathaar (1/290).*📚
🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊🖊
●●●●●●●●●●●●●●●●
* واعلم رحمك الله: أن هذه القرون (المفضلة) كلها لم تعرف شيئاً يُسمى بالإحتفال بالمولد وإنما هو بدعة إخترعها (الفاطميون) وعلى رأسهم الملقب بالمعز لدين الله وهو المذل لدين الله ..!
* واعلم رحمك الله: أن هذه القرون (المفضلة) كلها لم تعرف شيئاً يُسمى بالإحتفال بالمولد وإنما هو بدعة إخترعها (الفاطميون) وعلى رأسهم الملقب بالمعز لدين الله وهو المذل لدين الله ..!
*HEBU JUA EWE NDUGU YANGU ALLAH AKUREHEMU*
*KUWA HIZO KARNE TUKUFU ZILIZOPITA HAPAKUJULIKANA KITU KINACHOITWA MAULIDI*
*BALI YALIANZISHWA KWA MARA YA KWANZA NA MASHIA WA FAATWIMIA NA YAKIWA CHINI YA UONGOZI WA ALIYEITWA MWENYE KUIPA NGUVU DINI NA HAKIKA HUYO BWANA NI MWENYE KUIDHALILISHA DINI YA ALLAH*
●●●●●●●●●●●●●●●●
* فقد عاش في دولته الكفر (البواح) والفسق (الصراح) حيث أباح (الخمور) وحلل كل (الفروج) وأعلن البراءة من (السلف) والسب والتكفير (للصحابة) ومن على روؤس (المنابر) فهذا (التعيس) هو من ابتدع (المولد) وقد جعلها ستة موالد: لرسول الله صلى الله عليه وسلم، ولفاطمة، ولعلي، وللحسن وللحسين رضي الله عنهم جميعا، ومولد لنفسه ..!

*WAKATI BWANA HUYU ALIEANZISHA MAULIDI ALIISHI KATIKA UTAWALA WAKE NI MWENYE KUFANYA KUFURU YA UWAZI KABISA , NA UFAASIKI WA WAZI KABISA , WAKATI ALIHALALISHA POMBE NA AKAHALALISHA KILA UOVU, NA AKATANGAZA KUWA MBALI KABISA NA MWENDO WA WEMA WALOTANGULIA, NA AMEWAKUFURISHA MASWAHABA NA KUWATUKANA*
*KISHA HYU ETI NDIO ANAANZISHA MAULIDI YA MTUME SWALLA LLAH ALAYHI WASALAM NA WAISLAM HUUNGANA NAO KWENYE HILI*
___________________________
*ALLAH NISHUHUDIE KUWA NINEFIKISHA*
*BIN AMIR AL_MUBARAK*
*MADINATUL MUNAWARA*
ليست هناك تعليقات:
إرسال تعليق