الأربعاء، 12 أبريل 2023

Waislamu ni nani? (sehemu ya 1 kati ya 2) - Dini ya Kiislamu

Waislamu ni nani? (sehemu ya 1 kati ya 2) - Dini ya Kiislamu: Zaidi ya bilioni ya watu kutoka asli zote, nchi na tamaduni – sehemu hii inakupa utangulizi wa kuwa Waislamu ni nani na mchango wao katika dunia. Tovuti hii ni kwa ajili ya watu wa dini mbalimbali wanaotaka kuufahamu Uislamu na Waislamu. Ina makala nyingi fupi, lakini zenye taarifa kuhusu vipengele mbalimbali vya Uislamu. Makala mpya huongezwa kila wiki. Pia, inaangazia Usaidizi wa Moja kwa Moja kupitia maongezi.

ليست هناك تعليقات:

إرسال تعليق