منهج الأنبياء:
TABIA YA WANANDOA KUACHA KUSWALI SIKU YA HARUSI, KHASA WANAWAKE.
TABIA YA WANANDOA KUACHA KUSWALI SIKU YA HARUSI, KHASA WANAWAKE.
الشَـــيخ العَـــلّامَة مُحَمَّد بِن صَالح العثيمين - رَحِمَهُ اللهُ تَعَالَى -
Sheikh Al-allamah Muhamad Ibn Uthaimin, Allah amrehem:
السُّــــ ↶ـــؤَال:
Swali :
والسؤال الآخر للأخت، تقول: ما حكم من ترك صلاة المغرب ليلة الزفاف وتقضيها في وقت آخر؟
Na swali la mwisho Dada anasema :
Ni ipi hukumu ya kuacha swala ya maghrib usiku wa siku ya harusi na akailipa muda mwingine??
Ni ipi hukumu ya kuacha swala ya maghrib usiku wa siku ya harusi na akailipa muda mwingine??
الجَــــ ↶ـــوَاب:
Jibu :
❍ ↢ لا يجوز ذلك، والواجب على المرأة أن تصلي المغرب والعشاء أيضاً؛
Haifai kufanya hivyo, lililo la wajibu kwa mwanamke ni kuswali magharibi na Ishaa (kwa wakati) pia
لأنها سألت عن صلاة المغرب مع أن العشاء أقرب للترك،
Kwakuwa muulizaji ameuliza swala ya Maghrib pamoja ya kwamba Ishaa ndio iliyokaribu zaidi kuachwa (kwa ajili ndio muda wa kupumzika mke na mume)
ولكنه يجب عليها أن تصلي صلاة المغرب وصلاة العشاء، ولا يجوز لها تأخيرها عن وقتها؛
Lakini yeye analazimika kuswali swala ya maghrib na Ishaa , wala haijuzu kwake kuichelewesha kunako wakati wake
لأن هذا ينافي شكر نعمة الله عز وجل على الزفاف الذي حصل لها.
➡ Kwakuwa (Kufanya hivyo) kuna pingana na kushukuru neema ya Allah kwa harusi yao ambayo imetokea
❐ فالواجب أن تقوم بما أوجب الله عليها من فرائضه، ولن يفوتها شيء من مقصودها في النكاح.
Lililo la lazima kwake ni kusimamia yale ambayo Allah amemlazimishia juu yake miongoni mwa mambo ya lazima , wala asipoteze chochote kile katika yanayokusudiwa katika ndoa
📚 المَـــــصـــدر :
Masdar
سلسلة فتاوى نور على الدرب > الشريط رقم [44]
Masdar
سلسلة فتاوى نور على الدرب > الشريط رقم [44]
للإســ ↶ـــتِمَـــ ↶ــاع
Kwa kuskiliza sauti ya sheikh ⤵️
Kwa kuskiliza sauti ya sheikh ⤵️
Mfasiri: Abuu Fat'hiyya Khamisi Kiza (Allah amuhifadhi), Dodoma Tanzania 🇹🇿
ليست هناك تعليقات:
إرسال تعليق