الأحد، 15 مايو 2022

Maelezo ya Kurani kuhusu Kupanuka kwa Ulimwengu na Nadharia ya Mlipuko Mkubwa - Dini ya Kiislamu

Maelezo ya Kurani kuhusu Kupanuka kwa Ulimwengu na Nadharia ya Mlipuko Mkubwa - Dini ya Kiislamu: Makala hii inaelezea uwiano kati ya maelezo ya kisayansi yaliyokubaliwa zaidi ya asili na upanuzi wa Ulimwengu, na maelezo ya asili na upanuzi wake kwenye Kurani. Tovuti hii ni kwa ajili ya watu wa dini mbalimbali wanaotaka kuufahamu Uislamu na Waislamu. Ina makala nyingi fupi, lakini zenye taarifa kuhusu vipengele mbalimbali vya Uislamu. Makala mpya huongezwa kila wiki. Pia, inaangazia Usaidizi wa Moja kwa Moja kupitia maongezi.

ليست هناك تعليقات:

إرسال تعليق