الخميس، 23 مارس 2023

Misingi ya Uislam - Dini ya Kiislamu

Misingi ya Uislam - Dini ya Kiislamu: Maelezo ya kina kuhusu sehemu ya kwanza ya ushuhuda wa imani “Hakuna apaswaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mungu (La ilaaha ‘ill-Allah).” Tovuti hii ni kwa ajili ya watu wa dini mbalimbali wanaotaka kuufahamu Uislamu na Waislamu. Ina makala nyingi fupi, lakini zenye taarifa kuhusu vipengele mbalimbali vya Uislamu. Makala mpya huongezwa kila wiki. Pia, inaangazia Usaidizi wa Moja kwa Moja kupitia maongezi.

ليست هناك تعليقات:

إرسال تعليق