الجمعة، 11 أغسطس 2023

Jinsi ya Kusilimu na kuwa Muislamu - Dini ya Kiislamu

Jinsi ya Kusilimu na kuwa Muislamu - Dini ya Kiislamu: Kusilimu ni wepesi. Nakala hii inaelezea jinsi ya kusilimu kwa njia rahisi. Isitoshe, inatoa muhtasari wa Uislamu, imani ya watu bilioni 1.7, na inaangazia faida za kusilimu. Tovuti hii ni kwa ajili ya watu wa dini mbalimbali wanaotaka kuufahamu Uislamu na Waislamu. Ina makala nyingi fupi, lakini zenye taarifa kuhusu vipengele mbalimbali vya Uislamu. Makala mpya huongezwa kila wiki. Pia, inaangazia Usaidizi wa Moja kwa Moja kupitia maongezi.

ليست هناك تعليقات:

إرسال تعليق