الخميس، 2 أبريل 2026

Hadithi: Nilishuhudia swala ya Idd pamoja na Omari bin Khattwab radhi za Allah ziwe juu yake, akasema: Siku mbili hizi alikataza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kufunga ndani yake: Siku ya kufungua kwenu kutoka katika swaumu yenu, na siku nyingine ni ile mnayokula katika vichinjwa vyenu - Mkusanyiko wa Hadithi za Mtume zilizotafsiriwa

ليست هناك تعليقات:

إرسال تعليق