الثلاثاء، 30 نوفمبر 2021

Uislam Unatofautianaje na Imani zingine? (sehemu ya1 kwa 2) - Dini ya Kiislamu

Uislam Unatofautianaje na Imani zingine? (sehemu ya1 kwa 2) - Dini ya Kiislamu: Baadhi ya Sifa za kipekee za Uislamu hazipatikani katika mifumo mingine ya imani na njia za maisha. Tovuti hii ni kwa ajili ya watu wa dini mbalimbali wanaotaka kuufahamu Uislamu na Waislamu. Ina makala nyingi fupi, lakini zenye taarifa kuhusu vipengele mbalimbali vya Uislamu. Makala mpya huongezwa kila wiki. Pia, inaangazia Usaidizi wa Moja kwa Moja kupitia maongezi.

ليست هناك تعليقات:

إرسال تعليق