الأربعاء، 20 ديسمبر 2017

❌❌ HAIFAI KWA MUISLAM MWANAUME NA MWANAMKE KUSHIRIKIANA NA MAKAFIRI KATIKA SIKUKUU ZAO ❌❌

🚫🚫🚫🚫🚫🚫
 HAIFAI KWA MUISLAM MWANAUME NA MWANAMKE KUSHIRIKIANA NA MAKAFIRI KATIKA SIKUKUU ZAO 
[ KAMAVILE KRISMASS , PASAKA MWAKA MPYA VALENTINE DAY, BIRTHDAYS, BOXING DAY NA NYENGINEZO ZOOOTE] 
ﺑﻞ ﻳﺠﺐ ﺗﺮﻙ ﺫﻟﻚ؛ ﻷ‌ﻥ ﻣﻦ ﺗﺸﺒﻪ ﺑﻘﻮﻡ ﻓﻬﻮ ﻣﻨﻬﻢ، ﻭﺍﻟﺮﺳﻮﻝ ﻋﻠﻴﻪ ﺍﻟﺼﻼ‌ﺓ ﻭﺍﻟﺴﻼ‌ﻡ ﺣﺬﺭﻧﺎ ﻣﻦ ﻣﺸﺎﺑﻬﺘﻬﻢ ﻭﺍﻟﺘﺨﻠﻖ ﺑﺄﺧﻼ‌ﻗﻬﻢ.
BALI NI WAJIBU KUACHA KUSHIRIKI KATIKA SIKUKUU ZAO KWA SABABAU MWENYE KUJIFANANISHA NA WATU NA YEYE NI KATIKA WAO NA MTUME ALAYHI SSALAAM AMETUTAHADHARISHA KUJIFANANISHA NA MAKAFIRI NA KUWA NA TABIA KAMA ZAO 
ﻓﻌﻠﻰ ﺍﻟﻤﺆﻣﻦ ﻭﻋﻠﻰ ﺍﻟﻤﺆﻣﻨﺔ ﺍﻟﺤﺬﺭ ﻣﻦ ﺫﻟﻚ، ﻭﻻ‌ ﺗﺠﻮﺯ ﻟﻬﻤﺎ ﺍﻟﻤﺴﺎﻋﺪﺓ ﻓﻲ ﺫﻟﻚ ﺑﺄﻱ ﺷﻲﺀ، ﻷ‌ﻧﻬﺎ ﺃﻋﻴﺎﺩ ﻣﺨﺎﻟﻔﺔ ﻟﻠﺸﺮﻉ. 
💥💥NI WAJIBU WA MUUMINI MWANAUME NA MWANAMKE KUTAHADHARI KUSHIRIKI KATIKA SIKUKUU ZA MAKAFIRI,
HAIFAI KUSAIDIANA NAO KATIKA SIKUKUU ZAO KWA CHOCHOTE
KWASABABU SIKUKUU ZAO ZIPO KINYUME NA SHERIA YA ALLAAH 💥💥
ﻓﻼ‌ ﻳﺠﻮﺯ ﺍﻻ‌ﺷﺘﺮﺍﻙ ﻓﻴﻬﺎ ﻭﻻ‌ ﺍﻟﺘﻌﺎﻭﻥ ﻣﻊ ﺃﻫﻠﻬﺎ ﻭﻻ‌ ﻣﺴﺎﻋﺪﺗﻬﻢ ﺑﺄﻱ ﺷﻲﺀ ﻻ‌ ﺑﺎﻟﺸﺎﻱ ﻭﻻ‌ ﺑﺎﻟﻘﻬﻮﺓ ﻭﻻ‌ ﺑﻐﻴﺮ ﺫﻟﻚ ﻛﺎﻷ‌ﻭﺍﻧﻲ ﻭﻏﻴﺮﻫﺎ،
🌿🌿HAIFAI KUSHIRIKI KATIKA SIKUKUU NA KUSAIDIANA NA WENYE KUSHEREHEKEA SIKUKUU HIZO KWA LOLOTE LILE
SIO KWA CHAI WALA KAHAWA NA ISIYOKUWA HIVYO KATIKA VYOMBO NA MENGINEYO🌿🌿
ﻭﻷ‌ﻥ ﺍﻟﻠﻪ ﺳﺒﺤﺎﻧﻪ ﻳﻘﻮﻝ: "ﻭَﺗَﻌَﺎﻭَﻧُﻮﺍ ﻋَﻠَﻰ ﺍﻟْﺒِﺮِّ ﻭَﺍﻟﺘَّﻘْﻮَﻯ ﻭَﻻ‌ ﺗَﻌَﺎﻭَﻧُﻮﺍ ﻋَﻠَﻰ ﺍﻟْﺈِﺛْﻢِ ﻭَﺍﻟْﻌُﺪْﻭَﺍﻥِ ﻭَﺍﺗَّﻘُﻮﺍ ﺍﻟﻠَّﻪَ ﺇِﻥَّ ﺍﻟﻠَّﻪَ ﺷَﺪِﻳﺪُ ﺍﻟْﻌِﻘَﺎﺏِ". ﺳﻮﺭﺓ ﺍﻟﻤﺎﺋﺪﺓ ﺍﻵ‌ﻳﺔ 2،
ﻓﺎﻟﻤﺸﺎﺭﻛﺔ ﻣﻊ ﺍﻟﻜﻔﺮﺓ ﻓﻲ ﺃﻋﻴﺎﺩﻫﻢ ﻧﻮﻉ ﻣﻦ ﺍﻟﺘﻌﺎﻭﻥ ﻋﻠﻰ ﺍﻹ‌ﺛﻢ ﻭﺍﻟﻌﺪﻭﺍﻥ.
🍃 NA KWASABABU ALLAAH AMESEMA
" NA SAIDIANENI KATIKA WEMA NA UCHAMUNGU
WALA MSISAIDIANE KATIKA UOVU NA UADUI
NA MUOGOPENI ALLAAH
HAKIKA ALLAAH ANA ADHABU KALI SANA "
[SURATUL MAAIDA AYA 02]
👉 HIVYO BASI KUSHIRIKIANA NA MAKAFIRI KATIKA SIKUKUU ZAO KWA AINA YOYOTE YA MSAADA NI KUSAIDIANA KATIKA UOVU NA UADUI~🍃~🍃~🍃~🍃~
الشيخ العلامة : ابن باز - رحمه الله
ﻣﺠﻤﻮﻉ ﻓﺘﺎﻭﻯ ﻭ ﻣﻘﺎﻻ‌ﺕ ﻣﺘﻨﻮﻋﺔ \ ج 6 - ص 508
══════ ❁✿❁ ══════
🍒🍒 KWA HIYO NDUGU YANGU HAKUNA KATIKA UISLAM SIKUKUU YA MWAKA MPYA WAL KRISMAS WALA VALENTINE DAY WALA BIRTHDAYS, BALI VYOTE NI KATIKA MAMBO YA KIKAFIRI HAIFAI KUSHIRIKI KWA NAMNA YOYOTE ILE
HATA KUSEMA TU HAPPY KRISMAS
HAPPY NEW YEAR,HAPPY VALENTINE AU HAPPYBIRTHDAY... NI KATIKA MAKOSA
NA MUISLAAM YEYOTE YULE ATAKAE FANYA HAYO ATAPATA MADHAMBI
👉 HIVYO TUWE MBALI NA SHEREHE HIZO NA TUWATAHADHARISHE WATU NA UOVU HUU
👉 HATA KUVAA VIZURI NA KULA VIZURI KWA AJILI YA SHEREHE HIZO YOTE NI MADHAMBI 🍒🍒
Allaah akubaarik

أُنشرُوهَا فإن نشَرُ العِلمِ من أَعْظَمِ القُرُبَات
ENEZA UJUMBE HUU KWA WAISLAAM
KWA SABABU KUENEZA ELIMU NI KATIKA JAMBO KUBWA LA KUJIKURUBISHA KWA ALLAAH 📚📚

ليست هناك تعليقات:

إرسال تعليق